Melissa McCarthy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Melissa McCarthy
McCarthy in September 2014
AmezaliwaAgosti 26 1970 (1970-08-26) (umri 53)
Kazi yakeActress, comedian, writer, producer
Miaka ya kazi1997-hadi sasa
NdoaBen Falcone (m. 2005–present) «start: (2005-10-08)»"Marriage: Ben Falcone to Melissa McCarthy" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/Melissa_McCarthy)
Watoto2
NduguJenny McCarthy (binamu)
Joanne McCarthy (binamu)

Melissa Ann McCarthy (amezaliwa  Agosti 26, 1970)[1] ni mwigizaji filamu, mchekeshaji, mwandishir, na vilevile mtayarishaji kutoka nchini Marekani.

McCarthy alianza kupata umaarufu kwa uhusika wake wa Sookie St. James kwenye mfululizo wa TV wa Gilmore Girls (2000–2007). Kwenye ucheshi wa ABC Samantha Who? (2007–2009), amecheza kama Dena. Halafu baadaye akaja kucheza kama Molly Flynn kwenye ucheshi wa CBS Mike & Molly, uhusika ambao umempatia tuzo ya Primetime Emmy Award for Outstanding Lead Actress in a Comedy Series,[2] vilevile kupata kuchaguliwa mara mbili katika mifululizo iliyofuata hapo baadaye.

Vilevile amechaguliwa (bila kushinda) kwa ajili ya tuzo za Primetime Emmy Award for Outstanding Guest Actress in a Comedy Series kwa kazi yake kama mtangazaji wa Saturday Night Live kwa miaka mitatu mfululizo.

McCarthy alianza kupata mafanikio yake makubwa zaidi baada ya kucheza uhusika wake wa Megan Price kwenye filamu ya vichekesho ya mwaka wa 2011 Bridesmaids, ambayo imepelekea kupata kuingizwa katika tuzo kadhaa ikiwa ni pamoja na Academy Award kwa ajili ya Best Supporting Actress, BAFTA na Screen Actors Guild Award zote kwa ajili ya Best Supporting Actress.[3] Mwaka wa 2013, ameshitiki  katika filamu ya vichekesho maarufu kama Identity Thief na The Heat. Pia ameonekana katika filamu kama vile The Nines, The Back-up Plan, Life as We Know It and The Hangover Part III. Mwaka wa 2014, McCarthy amecheza katika filamu ya vichekesho Tammy na igizo la St. Vincent.[4] Mwaka wa 2015, amekuwa gumzo katika magazeti mengi duniani kwa kucheza filamu ya mapigano ya Spy. Yeye ndiye mwanzilishi wa kampuni ya filamu ya  On the Day Productions akiwa na mumewe Ben Falcone.

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

McCarthy alizaliwa mjini Plainfield, Illinois,[5] akiwa kama binti wa Sandra na Michael McCarthy.[6][7] Huyu ni binamu wa mwigizaji na mwanamitindo Jenny McCarthy.[8] McCarthy alilelewa katika "shamba kubwa familia ya Katoliki ya Eire".[9][10] Moja kati ya mababu zake wana asili ya County Cork.[11] Alihitimu katika chuo cha St. Francis Academy (sasa kinaitwa Joliet Catholic Academy) huko mjini Joliet, Illinois.[12] Kazi yake ilianza na uchekeshaji wa wima.[13] McCarthy ni mhitimu wa The Groundlings, mahali pa kufundishi ucheshi huko mjini Los Angeles, California.[14]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

1997–2010[hariri | hariri chanzo]

McCarthy at the 2012 Oscars

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

McCarthy ameolewa na mshikaji wake wa zamani, Ben Falcone, mwigizaji na mhitimu wa The Groundlings, mnamo Oktoba 8, 2005.[15][16] Falcone anafanya mionekano kadha wa kadha katika filamu anazocheza McCarthy, kama vile Bridesmaids, The Heat, Tammy, Identity Thief na Spy. Kwa pamoja, wana mabinti wawili; wa kwanza kazaliwa 2007 na mwingine 2010.[17][18]

Filmografia[hariri | hariri chanzo]

Filamu[hariri | hariri chanzo]

Mwaka
Filamu Uhusika
Maelezo
1998 God Margaret Filamu fupi
1999 Go Sandra
2000 Charlie's Angels Doris (kwenye Charlie's Angels: Full Throttle)
2000 Drowning Mona Shirley
2000 Auto Motives Tonnie Filamu fupi
2000 Disney's The Kid Sky King Waitress
2002 Pumpkin Cici Pinkus
2002 Third Wheel, TheThe Third Wheel Marilyn
2002 White Oleander Paramedic
2003 Life of David Gale, TheThe Life of David Gale Nico the Goth Girl
2003 Chicken Party Tot Wagner
2003 Kim Possible: The Secret Files DNAmy Sauti
2003 Charlie's Angels: Full Throttle Woman at Crime Scene Bloopers (Credits)
2006 Cook-Off! Amber Strang
2007 Nines, TheThe Nines Margaret / Melissa / Mary
2007 The Captain Fran
2008 Just Add Water Selma
2008 Pretty Ugly People Becky
2010 Back-Up Plan, TheThe Back-Up Plan Carol
2010 Life as We Know It DeeDee
2011 Bridesmaids Megan Price
2012 This Is 40 Catherine
2013 Identity Thief Diana/Dawn Budgie
2013 The Hangover Part III Cassy
2013 The Heat Det. Shannon Mullins
2014 Tammy Tammy Banks Pia mwandishi-skrini na mtayarishaji mtendaji
2014 St. Vincent Maggie Bronstein
2015 Spy Susan Cooper
2016 Michelle Darnell Michelle Darnell   Pia mwandishi-skrini na mtayarishaji mtendaji
2016 Ghostbusters Abby Bergman Inafilimiwa
ITNGZ
B.O.O.: Bureau of Otherworldly Operations Watts Sauti

Televisheni[hariri | hariri chanzo]

Mwaka
Jina
Uhusika
Maelezo
1997 Jenny Melissa Episode: "1.5"
2000 D.C. Molly 2 episodes
2000–2007 Gilmore Girls Sookie St. James 122 episodes
2002–2005 Kim Possible DNAmy (voice) 3 episodes
2004 Curb Your Enthusiasm Saleswoman Episode: "The Surrogate"
2007–2009 Samantha Who? Dena 35 episodes
2009 Rita Rocks Mindy Boone Episode: "Why Can't We Be Friends?"
2010 Private Practice Lynn McDonald Episode: "Best Laid Plans"
2010–present Mike & Molly Molly Flynn 114 episodes
2011–2014 Saturday Night Live Host 3 episodes
2012 The Penguins of Madagascar Shelley Episode: "Hair Apparent/Love Takes Flightless"

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Monitor", Aug 30, 2013, p. 20. 
  2. And the 2011 Emmy Award Nominees Are. Tvfanatic.com (2011-07-14). Iliwekwa mnamo 2012-01-08.
  3. Oscar nominations announced for supporting actress [dead link]
  4. Melissa McCarthy and Ben Falcone Preview 5 New Film Projects - Variety. Variety. Iliwekwa mnamo 20 November 2014.
  5. Melissa McCarthy Biography. TVGuide.com. Iliwekwa mnamo 2008-04-29.
  6. "Melissa Mccarthy: Her Moment to Shine" Archived 30 Desemba 2011 at the Wayback Machine. March 21, 2011, People Magazine
  7. "Bob Newhart just can't stand still" September 19, 2002, Herald News
  8. "Melissa McCarthy Is Having Her Moment" September 28, 2011, Hollywood Reporter
  9. Bio.com. Iliwekwa mnamo 20 November 2014.
  10. "‘Mike and Molly’s’ Melissa McCarthy Finds Super-Sized Success" Archived 22 Januari 2012 at the Wayback Machine. March 22, 2011, LifeScript.com
  11. Danaher, Patricia (2013-05-24). Melissa McCarthy: The Scene Stealer Goes Center Stage. Irish America. Iliwekwa mnamo 2013-11-18.
  12. "From JCA to CBS: Emmy winner got acting bug at Joliet school" Archived 24 Septemba 2011 at the Wayback Machine. September 21, 2011, The Herald News
  13. Melissa McCarthy Biography. Movies.yahoo.com. Iliwekwa mnamo 2012-01-08.
  14. http://groundlings.com/performers/performer-details.aspx?performerID=214
  15. Arieanna (2005-10-22). Melissa McCarthy gets married!!. Gilmore News. Iliwekwa mnamo 2011-07-30.
  16. BEN FALCONE (2011). Iliwekwa mnamo 2011-07-30.
  17. Sarah (2007-05-14). A daughter for Gilmore Girls' Melissa McCarthy. Celebrity Baby Blog. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-11-15. Iliwekwa mnamo 2011-07-30.
  18. Scott Huver: "Melissa McCarthy: I'm Not a Great Pregnant Woman", People, August 15, 2010 Archived 25 Machi 2012 at the Wayback Machine.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]