Melissa Lawley

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lawley akiwa na Liverpool mnamo 2019

Melissa Lawley (alizaliwa 28 Aprili 1994)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Liverpool ya Ligi Kuu Uingereza ya Wanawake (WSL).[2]

Hapo awali amechezea Bristol Academy, Birmingham City na Manchester City [3]. Lawley amewakilisha Uingereza katika mashindano ya wenye umri chini ya miaka 17, chini ya miaka 19, chini ya miaka 20, chini ya miaka 23 na viwango vya juu. [4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.mancity.com/news/mcwfc/mcwfc-news/2016/december/man-city-women-sign-melissa-lawley-from-birmingham
  2. Richard Laverty (2019-10-26). "Mel Lawley Reflects on Her Career as She Settles into Liverpool Life". Our Game Magazine (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2024-04-21. 
  3. "Arsenal book place in Cup final", BBC Sport (kwa en-GB), iliwekwa mnamo 2024-04-21 
  4. "TheFA.com - Melissa Lawley". web.archive.org. 2017-05-10. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-05-10. Iliwekwa mnamo 2024-04-21. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Melissa Lawley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.