Meja Mwangi
Mandhari
Meja Mwangi (alizaliwa 1948) ni miongoni mwa waandishi mashuhuri wa Kenya. Mwangi amefanya kazi katika sekta ya filamu, kama mwandishi,[[mkurugenzi msaidizi, mpiga picha na msimamizi wa eneo.|mkurugenzi msaidizi, mpiga picha na msimamizi wa eneo.
Mwangi alizaliwa Nanyuki, na kwenda shule katika Shule ya Sekondari Nanyuki, Chuo Kikuu cha Kenyatta na Chuo Kikuu cha Leeds Aliwafanyia kazi za kibarua watangazaji wa kigeni kabla ya kuamua kuwa mwandishi kamili. Alikuwa Fellow in Writing katika Chuo Kikuu cha Iowa (1975-6).
Zawadi na tuzo
[hariri | hariri chanzo]- Tuzo la Jomo Kenyatta, kwa Kill Me Quick (1974)
- Tuzo la Jomo Kenyatta kwa, Going Down River Road (1977)
- Lotus Award (Afro-Asian Writers' Association) (1978)
- Bread of Sorrow (1989)
- Deutscher Jugendliteraturpreis (Tuzo za Kijerumani kwa Fasihi ya Vijana ), kwa ajili ya Little White Man (1992)
- Le Prix Lire AU College, kwa Kariuki (1992)
- Tuzo la Jomo Kenyatta kwa {0The Last Plague{/0} (2001)
- National Book Week Award (Kenya) for The Last Plague
- Aliteuliwa kwa International IMPAC Dublin Literary Award for The Last Plague (2002)
- Society of School Librarians International Honor Book Award (USA), forThe Mzungu Boy (2005
- American Library Association National Book for Children Award, for The Mzungu Boy (2006)
- Children's Africana Book Award (best book for older readers), for The Mzungu Boy (2006)
Kazi ya fasihi
[hariri | hariri chanzo]- Kill Me Quick (1973) ISBN 0435901435
- Going Down River Road (1976) ISBN 0435901761
- The Dance Cockroach (1979) ISBN 0582642760
- Carcase for Hounds (1974) ISBN 0435901451
- Taste of Death (1975)
- The Bushtrackers (1979) ISBN 0582785251
- Bread of Sorrow (1987)
- The Return of Shaka (1989)
- Weapon of Hunger (1989) ISBN 9966498133
- Striving for the Wind (1990) ISBN 0435909797
- The Last Plague (2000) ISBN 9966250646
- Mountain of Bones (2001)
- The Boy Gift (2006) ISBN 9781847284716
- Mama Dudu, the Insect Woman (2007) ISBN 9781847284686
- Baba Pesa (2007) ISBN 9780979647611
- The Big Chiefs (2007) ISBN 9780979647635
- Gun Runner (2007) ISBN 9780979647604
- Power (2009) ISBN 9780979647697
- Blood Brothers (2009) ISBN 9780982012604
Filamu
[hariri | hariri chanzo]- Out of Africa (1985), mkurugenzi msaidizi
- White Mischief } (1987, mkurugenzi msaidizi wa pili
- The Kitchen Toto, mkurugenzi wa utoaji
- Gorillas in the Mist (1985), mkurugenzi msaidizi
- Shadow On The Sun (1988), meneja wa eneo
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Waandishi wa kisasa: Meja Mwangi Ilihifadhiwa 27 Septemba 2007 kwenye Wayback Machine.
- Meja Mwangi kwenye Internet Movie Database
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti Rasmi
- Post-Independence Disillusionment in Contemporary African Fiction: The Example of Meja Mwangi's "Kill Me Quick". Ilihifadhiwa 5 Juni 2011 kwenye Wayback Machine. by Ayo Kehinde