Nenda kwa yaliyomo

Megan Fox

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Fox mnamo 2022
Fox mnamo 2022
Megan Denise Fox (alizaliwa Mei 16, 1986) ni mwigizaji na mwanamitindo wa Marekani.[hariri | hariri chanzo]

Alionekana maranyingi kwenye kanda kuu za filamu, hasa Transformers franchise, pamoja na majarida mengine kama vile Maxim (magazine)|Maxim, Rolling Stone, na FHM.[1][2]

Amepokea tuzo mbalimbali kama vile Scream Awards na Teen Choice Awards.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Lee, Chris. "Megan Fox: Hollywood's outrageous it girl", September 23, 2009, pp. 1–2. 
  2. "Transformers star 'sexiest woman'", BBC News, April 24, 2008. 
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Megan Fox kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.