Mbiringani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mbiringani
(Solanum melongena)
Mbiringani
Mbiringani
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una jani moja)
(bila tabaka): Asterids (Mimea kama alizeti)
Oda: Solanales (Mimea kama mnavu)
Familia: Solanaceae (Mimea iliyo mnasaba na mnavu)
Jenasi: Solanum
L.
Spishi: S. melongena
L.

Mbiringani, mbilingani au mbilinganya (Solanum melongena) hupandwa sana katika panda za tropiki na nusutropiki au ndani ya nyumba za vioo katika nchi za baridi. Matunda yake, mabiringani, ni meusi-zambarau, pengine kijani au kijani na zambarau.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mbiringani kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.