Mbiringani
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mbilingani)
Mbiringani (Solanum melongena) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mbiringani
| ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mbiringani, mbilingani au mbilinganya (Solanum melongena) hupandwa sana katika panda za tropiki na nusutropiki au ndani ya nyumba za vioo katika nchi za baridi. Matunda yake, mabiringani, ni meusi-zambarau, pengine kijani au kijani na zambarau.
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Ua
-
Biringani
-
Biringani lililovunwa
-
Biringani lililokatika
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mbiringani kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |