Nenda kwa yaliyomo

Mbarwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mbarwa ni kasoko ya volkeno yenye kimo cha mita 1,346 juu ya usawa wa bahari.

Volikano hiyo iko kwenye Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki, kaunti ya Meru, Kenya[1][2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. www.volcanolive.com
  2. http://wikimapia.org