Nenda kwa yaliyomo

Maz Pacheco

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mayumi Pacheco (2020)

Mayumi "Maz" Pacheco (alizaliwa 25 Agosti 1998 )[1][2] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza ambae anacheza kama beki wa klabu ya Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) . [3]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2019-05-26. Iliwekwa mnamo 2024-04-26. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
  2. http://www.doncasterroversbelles.co.uk/playerProfile/mayumi_pacheco.html
  3. "England - M. Pacheco - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". int.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-04-26.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maz Pacheco kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.