Nenda kwa yaliyomo

Mayen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mayen

Nembo
Nchi Ujerumani
Jimbo Rhine-Palatino
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 18.748
Tovuti:  http://www.mayen.de
Sehemu ya mji wa Mayen

Mayen ni mji wa Rhine-Palatino nchini Ujerumani ya Magharibi. Ipo ardhini wa Eifel. Idadi ya wakazi wake ni takriban 18,748.

Jukwaa la kituo cha reli Mayen Kaskazini (Mayen Ost)

Mayen inahudumiwa na treni za eneo za mistari wa RB23 (Limburg - Diez - Bad Ems - Koblenz - Andernach - Mayen na RB38 (Andernach - Mayen - Kaisersesch) ya Lahn-Eifel-Bahn ya DB Regio.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mayen kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.