Maya Le Tissier

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Le Tissier akiwa na Manchester United mnamo 2022

Maya Le Tissier (alizaliwa 18 Aprili 2002) ni mchezaji wa mpira wa miguu,kutoka Uingereza ambae anacheza kama beki wa klabu ya Manchester United F.C. inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL)[1] na timu ya taifa ya Uingereza.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Le Tissier scores twice on debut in Man Utd win", BBC Sport (kwa en-GB), iliwekwa mnamo 2024-04-29 
  2. "Mead left out of England World Cup squad", BBC Sport (kwa en-GB), iliwekwa mnamo 2024-04-29 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maya Le Tissier kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.