Maxime Zianveni
Mandhari
Maxime Zianveni (alizaliwa tarehe 29 Desemba 1979) ni Mfaransa mzaliwa wa Afrika ya kati zamani alikuwa mchezaji wa mpira wa kikapu kwa sasa ni kocha mkuu wa timu ya mpira wa kikapu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati. Alicheza vilabu kadhaa nchini ufaransa enzi za uchezaji wake.
Wasifu kama kocha
[hariri | hariri chanzo]Tarehe 23 Aprili 2020, Zianveni saini kuwa kocha mkuu wa Le Cannet ya Nationale Masculine 2 (NM2), ligi daraja la nne nchini Ufaransa.[1]
Alikua mkufunzi mkuu wa timu ya taifa ya mpira wa kikapu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati mwaka 2021, na akaifundisha katika FIBA AfroBasket 2021.