Max Romeo
Mandhari
Max Romeo (jina la kuzaliwa: Maxwell Livingston Smith, alizaliwa 22 Novemba 1944)[1][2] ni msanii wa muziki wa reggae na roots reggae wa Jamaika ambaye amepata mafanikio kwenye chati nchini mwake na Uingereza.
Alikuwa na vibao kadhaa na kikundi cha Emotions. Wimbo wake wa Wet Dream mwaka 1968 ulikuwa na mashairi yenye maudhui ya wazi ya ngono na ulianzisha mtindo mpya wa reggae.[3][4][5]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Respect to the Max!", Jamaica Observer, 23 November 2014. Retrieved 23 November 2014
- ↑ Some sources, e.g. Thompson (2002) state 1947 as year of birth
- ↑ Jo-Ann Greene. "Max Romeo - Music Biography, Credits and Discography". AllMusic. Iliwekwa mnamo 2010-09-23.
- ↑ Harry Hawks, "Max Romeo", ReggaeCollector.com, 10 October 2013.
- ↑ Thompson, Dave (2002). Reggae & Caribbean Music. Backbeat Books. ISBN 0-87930-655-6.