Max Kilman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Max Kilman (alizaliwa Mei 23, 1997) ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza kwenye timu ya Wolverhampton Wanderers kama mlinzi.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Kilman alianza kazi yake katika chuo cha Fulham. Alipokuwa kijana, alijiunga na klabu ya Futsal. Baadaye alijiunga na chuo kikuu cha Gillingham kabla ya kusaini Maidenhead United mwaka 2015. Kilman alikopwa kwa upande wa Soka la Marlow kwa msimu wa 2016-17.Na baadae alijiunga na Wolverhampton Wanderers.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Max Kilman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.