Maurice Jarre
Mandhari
Maurice-Alexis Jarre (13 Septemba 1924 – 28 Machi 2009)[1][2][3][4] alikuwa mtunzi wa vibwagizo vya filamu na mwongozaji muziki wa vyombo vingi kutoka nchini Ufaransa.
Japokuwa ametunga tungo kadhaa kwa ajili ya kazi za maonyesho ya muziki, alifahamika sana kwa utunzi wake wa vibwagizo vya filamu, na hasa kwa kufanya kazi pamoja na mwongozaji David Lean. Jarre ametarishaji vibwagizo karibuni vya filamu zote za Lean tangu Lawrence of Arabia (1962). Vibwagizo vingine maarufu ni pamoja na The Message (1976), Dead Poets Society (1989) na Ghost (1990). Jarre alizawadiwa nyota katika Hollywood Walk of Fame.[5]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ McLellan, Dennis. "Maurice Jarre dies at 84; composer for 'Lawrence of Arabia'", Los Angeles Times, 31 Machi 2009. Retrieved on 31 Machi 2009.
- ↑ Weber, Bruce. "Maurice Jarre, Hollywood Composer, Dies at 84", The New York Times, 31 Machi 2009. Retrieved on 31 Machi 2009.
- ↑ allmusic Biography
- ↑ « Epic Composer Maurice Jarre Dies at 84 » Ilihifadhiwa 3 Machi 2016 kwenye Wayback Machine., peoplestar.co.uk, 30 Machi 2009.
- ↑ Maurice Jarre (I) - Biography
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Maurice Jarre kwenye Internet Movie Database
- Filmography, soundtrack reviews, capsule biography Ilihifadhiwa 7 Septemba 2006 kwenye Wayback Machine.
- Obituary by the Associated Press on Legacy.com
- Hollywood’s top music composer Jarre dies Ilihifadhiwa 4 Aprili 2009 kwenye Wayback Machine.
- O'Connor, Patrick. "Obituary", The Guardian, 31 Machi 2009.
- Maurice Jarre katika Find A Grave