Hollywood Walk of Fame

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Waimbaji wa mtaani wakiimba katika Hollywood Walk of Fame.

Hollywood Walk of Fame ni njia ya miguu iliopo mjini Hollywood Boulevard na Vine Street huko Hollywood, Los Angeles, California, Marekani, ambayo hutumiwa kama sehemu ya maonyesho ya burudani. Imetiwa zaidi ya nyota yenye-pembe tano 2,000 ikiwa na majina sio ya binadamu mashuhuri peke yake bali hata yale ya wahusika wa katuni pia wamepewa nyota kwenye Hollywood kwa mchango wao katika tasnia ya burudani. The Walk of Fame ni inajipatia fedha na Hollywood Historic Trust. Nyota za kwanza zilitolewa mnamo mwezi wa Septemba katika mwaka wa 1958 na kuwekwa kwenye njia ya miguu kwenye kona ya kaskazini mwa Hollywood Blvd. na Highland Ave.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Aina ya nyota
Television, Filamu, Live Theater, Rekodi na Redio.
Nyota za watu walifariki

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu: