Nenda kwa yaliyomo

Maureen Connell

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maureen Connell (amezaliwa Nairobi,nchini Kenya, 2 Agosti 1931) ni mwigizaji wa filamu wa Uingereza. [1]

Maisha yake

[hariri | hariri chanzo]

Mnamo Julai 1956, Connell aliolewa na muongoza, mwandishi na mtayarishaji filamu wa Uingereza John Guillermin. Makazi yao yalikuwa Los Angeles kuanzia mwanzoni mwa mwaka 1968.

Walikuwa na watoto wawili, Michelle na Michael-John. Baadae huyo wa mwisho alikufa katika ajali ya gari mwaka 1989 huko Truckee, California.

Filamu zilizochaguliwa

[hariri | hariri chanzo]

Televisheni

[hariri | hariri chanzo]
  • ITV Television Playhouse (1955)
  1. "Maureen Connell", BFI. Retrieved on 2020-10-10. (en) Archived from the original on 2012-10-21.  "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-10-21. Iliwekwa mnamo 2020-10-10.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maureen Connell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.