Mauaji ya albino
Mauaji ya albino ni mauaji juu ya watu wenye ulemavu wa ngozi maarufu kama maalbino au zeruzeru.
Mambo yanayofanywa juu ya watu wenye ulemavu wa ngozi ni haya yafuatayo.
Imani za kishirikina ambazo husababisha watu wasio na hatia kuuliwa kwa lengo la kutaka kutajirika kupitia watu hawa.
Lingine ni uwepo wa elimu finyu juu yao kuhusu umuhimu wa binadamu kuishi na si kuuliwa kama kwamba si watu ambao waliumbwa na Mungu. Hivyo basi hali hii hupelekea watu wenye ulemavu kama huu kukosa haki zao za msingi kama vile ile ya kuishi.
Njia za kuzuia mauaji ya maalbino ni yafuatayo: Uwepo wa elimu juu ya umuhimu wa maalbino na si kuuliwa. Hivyo jamii haina budi kuwapa wote elimu, waelimishwe pia kuweka sheria na adhabu kali dhidi ya watu wanaowaonea wenye ulemavu.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mauaji ya albino kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |