Nenda kwa yaliyomo

Mauaji ya Oued Bouaicha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mauaji ya Oued Bouaïcha yalitokea takribani maili 150 (kilomita 240) kusini mwa Algiers, karibu na Djelfa, mnamo tarehe 26 Machi mwaka 1998, wakati wa Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Algeria.

Jumla ya watu 47, kati yao watoto 27 walio chini ya miaka 16, waliuawa jijini Oued Bouaïcha katika eneo la manispaa ya Bouire Lahdab, karibu na Had Sahary, na kundi la watu 15 wenye mapanga na visu, waliowateka nyara wanawake 3.[1][2]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. GARÇON, José (1998-12-10). "45 personnes tuées en Algérie. Ce massacre fait craindre un regain de violence à dix jours du ramadan". Libération.fr (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2020-09-19.
  2. "Algérie - Quarante quatre civils assassinés De nouveau la litanie des massacres". L'Orient-Le Jour. 1998-12-10. Iliwekwa mnamo 2020-09-19.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mauaji ya Oued Bouaicha kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.