Djelfa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Djelfa, Algeria
Mji wa Djelfa, Algeria

Djelfa ni mji muhimu wa Algeria. Ndio wa tano nchini kwa wingi wa wakazi.

Hao walihesabiwa kuwa 289,226 mwaka 2008[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Flag and map of Algeria.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Djelfa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.