Nasaba ya Walashma
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mati Layla Abud)
Nasaba ya Walashma ulikuwa ukoo wa kifalme wa Kiislamu katika Pembe ya Afrika ulioanzishwa katika eneo la Ifat (ambalo leo hii linapatikana mashariki mwa Shewa).[1] Ulianzishwa katika karne ya 13, ulitawala fa na Adal katika yale ambayo sasa ni maeneo ya Somalia, Jibuti, Eritrea na mashariki mwa Ethiopia.[2]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Ifat. Britannica.
- ↑ Jyee, Dr. Ravi (2016). WORLD ENCYCLOPAEDIA OF AFRICAN COUNTRIES. New Delhi, India: AFRO-ASIAN-AMERICAN CHAMBER OF COMMERCE, OCCUPATIONAL RESEARCH AND DEVELOPMENT (ACCORD). uk. 360.
Ulianzishwa mwaka 1285 na ukoo wa Walashma, ulikuwa na makao yake makuu Zeila. Ifat iliweka vituo katika Djibouti na Somalia, na kutoka hapo iliongeza eneo lake kuelekea kusini hadi Milima ya Ahmar.
| Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nasaba ya Walashma kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |