Tanga (chombo)
Mandhari
(Elekezwa kutoka Matanga)
Kwa matumizi mengine ya jina hili angalia Tanga (maana)
Tanga ni kipande kikubwa cha kitambaa kinachopokea nguvu ya upepo na hivyo kuwezesha chombo cha kusafiria majini kusogea.
Tanga inafungwa kwenye mlingoti wa jahazi au merikebu na kasi ya upepo inaleta shindikizo kwenye uso wake na hivyo kusababisha mwendo wa chombo chote.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:
- Sailboats database: sailing yacht specifications worldwide
- Sail Design Software
- The quest for the perfect sailshape Ilihifadhiwa 2 Machi 2012 kwenye Wayback Machine.
- FABRIC Sail Design Software Ilihifadhiwa 10 Novemba 2008 kwenye Wayback Machine.
- Laminated Sails: Doyle Stratis Ilihifadhiwa 14 Machi 2012 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |