Matale
Mandhari
Matale inaweza kumaanisha:
- itale, aina ya mwamba
- Matale (Monduli), kata ya zamani ya Wilaya ya Monduli, Tanzania bara
- Matale (Chake Chake), kata ya Wilaya ya Chake Chake, Pemba
- Matale A, kata ya Wilaya ya Longido, Tanzania bara