Mary Fowler

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Fowler akiwa na Adelaide United mnamo 2017

Mary Boio Fowler (alizaliwa 14 Februari 2003) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Australia ambaye anacheza kama kiungo wakati wa klabu ya Manchester City inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL)[1] na timu ya taifa ya Australia.[2] Pia anaweza kucheza kama mshambuliaji

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mary Fowler shortlisted for the European Golden Girl award | Matildas". www.matildas.com.au (kwa Kiingereza). 2023-10-21. Iliwekwa mnamo 2024-04-28. 
  2. Pender, Kieran (2023-08-14), "Mary Fowler: creative maestro’s work not done yet with England up next for Matildas", The Guardian (kwa en-GB), ISSN 0261-3077, iliwekwa mnamo 2024-04-28 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mary Fowler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.