Nenda kwa yaliyomo

Mary Pius Chatanda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mary Chatanda)

Mary Pius Chatanda (amezaliwa 5 Septemba 1959) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Korogwe Mjini kwa miaka 20152020.

    Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu.
    Je, unajua kitu kuhusu Mary Pius Chatanda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
    Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
    Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.