Nenda kwa yaliyomo

Martin Perl

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Martin Perl

Martin Lewis Perl (amezaliwa 24 Juni 1927) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa anajulikana kwa kugundua leptoni ya tau. Mwaka wa 1995, pamoja na Frederick Reines alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Martin Perl kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.