Martin Karplus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Martin Karplus

Martin Karplus (amezaliwa 15 Machi, 1930) ni mwanakemia kutoka nchi ya Austria aliyehamia Marekani katika ujana wake. Hasa alichunguza uendelezaji wa miundo ya kikemia. Mwaka wa 2013, pamoja na Michael Levitt na Arieh Warshel, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Martin Karplus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.