Mariya Nzigiyimana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mariya Nzigiyimana (alizaliwa 1934) ni mkunga kutoka Burundi. Aliolewa na mwalimu na mwanaharakati Abel Binyoni.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mariya Nzigiyimana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.