Marisa Brunner
Mandhari
Marisa Brunner (28 Mei 1982) ni kipa mstaafu wa soka wa nchini Uswisi, ambaye alitumia miaka sita ya kazi yake akicheza katika klabu ya SC Freiburg ya Bundesliga nchini Ujerumani.[1] kabla ya kuhamia SC Sand alicheza katika timu za Uswisi, FC Aarau na SC LUwin.ch na aliitwa kama mchezaji bora wa Uswisi mwaka 2007 na 2009. Mnamo mwaka 2013 alistaafu kucheza katika kazi yake ya kucheza soka.[2] Alikuwa kipa wa kwanza wa timu ya taifa ya Uswisi, ambayo alianza kucheza mwaka 2003.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Marisa Brunner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |