Nenda kwa yaliyomo

Mario Götze

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mario Gotze akiwa kwenye timu yake ya taifa.

Mario Götze (alizaliwa 3 Juni 1992) ni mchezaji wa soka wa Ujerumani ambaye anacheza kama kiungo mshambuliaji wa klabu ya Borussia Dortmund na timu ya taifa ya Ujerumani. Ingawa nafasi yake anayopendelea kucheza ni kiungo anayechezesha timu, Götze pia ni mchezaji mwenye kasi, mbinu na ufundi na nguvu.

Alichaguliwa kwenye kikosi cha Kombe la Dunia cha Ujerumani. Anaonekana ni mmoja kati ya wachezaji wenye uwezo mkubwa katika ligi ya Ujerumani, Alifunga bao la ushindi katika fainali ya Kombe la Dunia mwaka 2014 dhidi ya Argentina.


Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mario Götze kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.