Marie Louise Nignan-Bassolet

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Marie Louise Nignan-Bassolet ni mwanasiasa kutoka Burkina Faso.

Alihudumu kama Waziri wa Sheria kuanzia mwaka 1982 hadi 1983. [1][2] Waziri wa Kwanza wa Sheria mwanamke katika nchi yake.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Chiefs of State and Cabinet members of foreign governments / National Foreign Assessment Center. 1983:Jan.-Mar..". HathiTrust (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-07-07. 
  2. Rouamba, Lydia; Descarries, Francine (2010). "Les femmes dans le pouvoir exécutif au Burkina Faso (1957-2009)". 
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marie Louise Nignan-Bassolet kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.