Nenda kwa yaliyomo

Mariam Chamberlain

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mariam Chamberlain ( 24 Aprili 19181 Aprili 2013 ) alikuwa mwanaharakati wa haki za wanawake.

Alizaliwa huko Chelsea, Massachusetts, Aprili 24, 1918. Alipata PhD ya uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Harvard mnamo mwaka 1950.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mariam Chamberlain kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.