Nenda kwa yaliyomo

Maria Magdalena Bentivoglio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maria Magdalena Bentivoglio

Maria Magdalena Bentivoglio, OSC (Fiano Romano, Roma, Italia, 29 Julai 1834Evansville, Indiana, Marekani, 18 Agosti 1905) alikuwa mtawa wa Italia wa shirika la Waklara Waurbani.

Alitumwa Marekani kuanzisha monasteri ya kwanza ya shirika hilo nchini humo. Baada ya kukataliwa na maaskofu mbalimbali wasiopenda utawa wa sala tu, hatimaye aliweza kuanzisha nyumba tatu kabla ya kifo chake. [1]

Mchakato wa kumtangaza mwenye heri umeanza, hivyo anaweza kuitwa Mtumishi wa Mungu.[2]

  1. Fink, John F. (Septemba 12, 2008). "Possible saints: Mary Magdalen Bentivoglio". The Criterion Online Edition. Archdiocese of Indianapolis. Iliwekwa mnamo 26 Novemba 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Religion: Candidate". Time Magazine. Julai 8, 1929. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Oktoba 27, 2010. Iliwekwa mnamo 26 Novemba 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.