Margaret K. Butler

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Margaret Kampschaefer Butler (Machi 27, 1924Machi 8, 2013 [1]) alikuwa mwanahisabati ambaye alishiriki katika kuunda na kusasisha programu za kompyuta. Katika miaka ya 1950[2], Butler alichangia maendeleo ya kompyuta za mapema. Butler alikuwa mwanamke wa kwanza katika Jumuiya ya Nyuklia ya Amerika na mkurugenzi wa Kituo cha Kitaifa cha Programu ya Nishati huko Argonne [3].Butler alikuwa mwanamke wa kwanza kushika nyadhifa za uongozi ndani ya mashirika mengi ya kisayansi na vikundi vya wanawake American Nuclear Society na mkurugenzi wa National Energy Software Center huko Argonne.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Remembering the First Female ANS Fellow - Margaret Butler. American Nuclear Society. Iliwekwa mnamo 14 March 2022.
  2. "Computer pioneer Margaret Butler dies", United Press International, March 19, 2013. Retrieved on 18 December 2014. 
  3. "Mothers and Daughters of Invention." Google Books. N.p., n.d. Web. 14 December 2014.