Nenda kwa yaliyomo

Mardrea Hyman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mardrea Hyman (alizaliwa Clarendon, 22 Desemba 1972) ni mwanariadha kutoka Jamaika ambaye alibobea katika mbio za mita 3000 kuruka viunzi.[1]

  1. "Mardrea Hyman".
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mardrea Hyman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.