Marc Angelucci

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Marc Angelucci (30 Machi 1968 - 11 Julai 2020) alikuwa mwanaharakati wa haki za wanaume, makamu wa rais wa Umoja wa Kitaifa wa Wanaume National Coalition for Men (NCFM) na wakili kutoka Marekani.[1]

Kama mwanasheria, aliwasilisha kesi kadhaa zinazohusiana na maswala ya haki za wanaume. Alipatikana ameuawa nyumbani kwake mnamo 11 Julai 2020.[2]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marc Angelucci kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Cassens Weiss, Debra (July 14, 2020). "Prominent men's rights lawyer is shot and killed outside his home". ABA Journal. Iliwekwa mnamo July 22, 2020.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. https://edition.cnn.com/2020/07/21/us/marc-angelucci-mens-rights-killing/index.html