Nenda kwa yaliyomo

Manuel Ugarte

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ugarte akichezea Sporting CP mnamo 2022

Manuel Ugarte Ribeiro (alizaliwa 11 Aprili 2001)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uruguay, ambaye anacheza kama kiungo mkabaji katika klabu ya Paris Saint-Germain F.C. inayoshiriki Ligue 1 ya Ufaransa na timu ya taifa ya Uruguay.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://fdp.fifa.org/assetspublic/ce44/pdf/SquadLists-English.pdf
  2. "«Il comprend le jeu» : Manuel Ugarte décrypté avant PSG - OM". L'Équipe (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2024-06-17.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Manuel Ugarte kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.