Mangi Horombo
Mandhari
Mangi Horombo alikuwa Mangi wa Keni, leo katika mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania, aliyejulikana kwa uhodari wa vita na kupora mifugo kutoka katika himaya nyingine huko Kilimanjaro.
Inasemekana Mangi Horombo alikuwa na urefu wa zaidi ya futi nane kwenda juu.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mangi Horombo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |