Manana Kochladze
Mandhari
Manana Kochladze (amezaliwa 1972) ni mwanamazingira na mtaalamu wa biolojia kutoka Georgia.[1]
Alipewa Tuzo ya Mazingira ya Goldman mnamo 2004 kwa kampeni zake za mazingira, haswa kuhusu bomba la mafuta kupitia maeneo hatarishi.[2]
Awali alifunzwa kuwa mwanasayansi, alibadilisha mwelekeo kuwa mwanaharakati wa mazingira. Mnamo 1990 alianzisha shirika lisilo la kiserikali la Green Alternative.[3]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Manana Kochladze kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.encyclo.co.uk/meaning-of-Manana_Kochladze
- ↑ "Manana Kochladze. 2004 Goldman Prize Recipient. Europe". goldmanprize.org. Iliwekwa mnamo 16 Septemba 2019.
{{cite web}}
: Check date values in:|accessdate=
(help) - ↑ https://grist.org/article/nijhuis-kochladze/