Nenda kwa yaliyomo

Malengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mwalimu Julius K. Nyerere akiongea.

Malengo ya kufanya Kiswahili kiwe lugha ya taifa nchini Tanzania yalielezwa na mwalimu Julius Kambarage Nyerere kama ifuatavyo:

  • 1.Kuwaunganisha watu wote waliopo ndani ya Tanzania.
  • 2.Kuongeza na kusaidia ufanisi wa kazi mbalimbali katika jamii.
  • 3.Ni ishara kuwa huru kama taifa.
  • 4.Ni ishara ya kuonyesha uzalendo katika taifa letu.
  • 5.Kuongeza ajira kwa kupata wataalamu watakaofundisha wageni.
  • 6.Kuwapata wakalimani mbalimbali wa lugha ya Kiswahili.
  • 7.Kusaidia kupata vijana wazalendo wa taifa letu.
  • 8.Kuondoa matabaka miongoni mwetu kwa kutumia lugha moja tutakayoelewana.
  • 9.Ili kutoa elimu ya ufanano nchini Tanzania.
  • 10.Kupata nguvu ya pamoja kama taifa ili kupigania haki zetu.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Malengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.