Makumbusho ya Prempeh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Makumbusho ya Prempeh (kwa Kiingereza: Prempeh Jubilee Museum) yanapatikana katika mji wa Kumasi, mkoa wa Ashanti, nchini Ghana.[1]

Makumbusho hayo yalianzishwa mwaka 1954.

Tazama Pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Blank template.svg Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Makumbusho ya Prempeh kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.