Makumbusho ya Nurom Hat

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nurom Hat ni makumbusho yenye kofia zilizokusanywa kutoka karibu pande zote za dunia.

Yanapatikana katika nchi ya Ghana[1] yalipoanzishwa mwaka 1960.

Tazama Pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nurom Hat Museum". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-06. Iliwekwa mnamo 2020-05-05. 
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Makumbusho ya Nurom Hat kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.