Makumbusho Urithi Tanga
Mandhari
URITHI Tanga Museum ni makumbusho ya urithi wa Tanga, yaliyoanzishwa mwaka 2007 na asasi isiyo ya kiserikali inayoitwa Tanga Heritage Centre (URITHI).
Makumbusho hayo yapo kwenye jengo lililokuwa Boma la Tanga. Boma hili lilijengwa mwaka 1890 kama ofisi na makazi ya mkuu wa wilaya.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tanga bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Makumbusho Urithi Tanga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |