Nenda kwa yaliyomo

Tanga Heritage Centre

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tanga Heritage Centre.

Tanga Heritage Centre, inayojulikana zaidi kama Urithi (kwa Kiingereza Heritage) ni asasi isiyo ya kiserikali na yasiyolenga kifaida yenye makazi katika Tanga nchini Tanzania. Asasi hiyo ilianzishwa mwaka 1999 kwa lengo la kutunza na kutangaza urithi wa Mkoa wa Tanga.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]