Maktaba (uhandisi wa programu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maktaba (kwa Kiingereza: library) katika utarakilishi ni mkusanyo wa taratibu au class zinazotumiwa kwa kutengeneza programu za kompyuta.

Inaonekana kama istilahi ya maktaba ya utaratibu ilitumiwa mara ya kwanza na Wilkes M.V., Wheeler D.J., Gill S. kwa sura ya umbile la mkokotoo kwenye kompyuta[1]. Kufuatana na yaliyomo katika kitabu chao, maktaba ni seti ya programu fupi iliyotengenezwa mapema kwa kauli kadhaa za mkokotoo zinazokutwa mara nyingi[2].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.