Makongolosi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makongolosi ni kata ya Wilaya ya Chunya katika Mkoa wa Mbeya, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 18,116 [1] walioishi humo.

Makongolosi kwa sasa ni mamlaka ya mji mdogo yaliyo ndani ya Wilaya ya Chunya, ni mji mdogo unaokadiriwa kuwa na watu zaidi ya 25,000 kwa sasa.

==Hali ya makazi na biasha Mji mdogo wa Makongolosi ni kati ya miji mipya iliyoanzishwa ivi karibuni (mwaka 2011), kwa hiyo ni mji ambao ni mchanga lakini ni kati ya miji inayokua kwa kasi katika Mkoa wa Mbeya, ambapo kwa sasa ina wakazi wa makabila tofautitofauti kutoka karibia kila pembe ya Tanzania.

Wakazi wake wanajihusisha na machimbo ya dhahabu, pamoja na biashara mbalimbali za mazao ya shambani, mazao ya wanyama, na pia biashara za bidhaa za viwandani.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Sensa ya 2012, Mbeya - Chunya DC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2016-05-29.
Kata za Wilaya ya Chunya - Tanzania

Bwawani | Chalangwa | Chokaa | Ifumbo | Itewe | Kambikatoto | Kasanga | Lupa | Lualaje | Mafyeko | Makongorosi | Mamba | Matundasi | Matwiga | Mbugani | Mkola | Mtanila | Nkung'ungu | Sangambi | Upendo


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mbeya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Makongolosi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.