Majd Eddin Ghazal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Majd Eddin Ghazal (Kiarabu: مجد الدين غزال‎; alizaliwa 21 Aprili 1987) ni mrukaji wa juu wa Syria.[1] Anatumia mtindo wa Fosbury Flop,[2] akiruka kutoka mguu wake wa kushoto. Alikuwa mshika bendera wa kitaifa kwenye Olimpiki ya Majira yajoto 2012 na kwenye Olimpiki ya Majira ya joto 2016.[3] Katika mashindano ya kuruka juu ya Wanaume, alishika nafasi ya 28 na hakufuzu hadi fainali mwaka wa 2012.[4] Alifuzu kwa fainali na kumaliza nafasi ya 7 mwaka wa 2016.[5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Majed Aldin Ghazal - Athletics - Olympic Athlete | London 2012. web.archive.org (2012-07-23). Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-07-23. Iliwekwa mnamo 2021-10-30.
  2. Majd Eddin GHAZAL | Profile | World Athletics. worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-10-30.
  3. Majd Eddin Ghazal: High jump dreams despite daily struggles – Home (en-US). Iliwekwa mnamo 2021-10-30.
  4. OCA » Olympic Council of Asia meets Majd Eddin Ghazal. ocasia.org. Jalada kutoka ya awali juu ya 2021-10-30. Iliwekwa mnamo 2021-10-30.
  5. Syria eyes Olympic success in Tokyo despite huge challenges - Global Times. www.globaltimes.cn. Iliwekwa mnamo 2021-10-30.