Majadiliano ya mtumiaji:Moongateclimber

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ndugu Moongateclimber, benvenuto na Karibu kwenye wikipedia ya Kiswahili! Ukiwa na swali lolote - uliza tu! Menginevyo nimeona umeshazoea wikipedia kwa Kiitalia na Kiingereza. --Kipala (majadiliano) 14:01, 5 Julai 2008 (UTC)Reply[reply]

Salam nyingi zikufikie Nd. Moongateclimber. Haya, keybord kwa Kiswahili tunaita "Kinanda". Karibu sana katika Wikipedia kwa Kiswahili!!--Mwanaharakati (majadiliano) 04:13, 8 Julai 2008 (UTC)Reply[reply]
Hamna tabu. Tupo pamoja kwa kila jambo. Kuhusu muziki na filamu, natumai najua mawili matatu kwa hiyo ukijisikia kuuliza lolote kuhusu muziki au filamu, hapa ndiyo penyewe!! Tusonge.--Mwanaharakati (majadiliano) 10:29, 8 Julai 2008 (UTC)Reply[reply]

Mpangilio[hariri chanzo]

Kuna kitu nimegundua katika kutaja majina ya nyimbo, mwaka wa nyimbo na mtayarishaji au studio iliyorekodiwa. Nimeona ukiandika jina la nyimbo mwaka na studio ya kurekodia katika sehemu ya kutaja nyimbo maarufu za msanii au kundi la muziki (Nako 2 Nako). Haitakiwi kuwa hivyo. Ukitaka kuandika single na tarehe zake, yaani mtayarishaji nani, mwaka, mwezi na maelezo mengine: Unaruhusiwa kuandika makala nyingine ya single. Labda angalia hizi kisha utapa picha kamili.

Hapo utaona nimeandika mtayarishaji wa nyimbo, mwaka, mwezi na tarehe zake. Je unajua namna ya kutumia template katika makala?--Mwanaharakati (majadiliano) 10:57, 8 Julai 2008 (UTC)Reply[reply]

Yes. It's template what I asked you about. Do you know how to use template? I guess you know how to use it!! You can try to create new article about bongo music such as "We Mchizi Wangu" by Nako 2 Nako etc :). But I don't think if I know proper English. I'll try to write simple Kiswahili for you!!! What do you think??--Mwanaharakati (majadiliano) 14:45, 8 Julai 2008 (UTC)Reply[reply]
Ooops. I didn't check your userpage. Your an administrator in Wikipedia kwa Kitaliano. Yeah, you know absolutley everything about Wikipedia. But let me give you an advice: To leave a message in your talk page for Enlish language, will not facilitate you to know proper Kiswahili. You have to try whatever it take. But I'll write simple Kiswahili for you, cause I know who really you are now! Don't worry we will be together for every step you move. But I'm telling you again and again, it's better to contact each other through Kiwahili only. Karibu sana!!!!--Mwanaharakati (majadiliano) 15:14, 8 Julai 2008 (UTC)Reply[reply]

Jamii (Category)[hariri chanzo]

Mambo vipi Moongate! Katika kuweka jamii kwenye makala za mwanamuziki au wanamuziki inabidi uwe unaweka tofauti. Category ya bendi ni tofauti kidogo na ile ya mwanamuziki. Kwa mfano wewe umeweka category ya Wanamuziki wa Uingereza katika makala ya Genesis, wakati ulitakiwa uweke category ya [[Category:Bendi za muziki wa Uingereza]]. Sifikirii (I'm not thinking) kama umekosea hapana. Ni kujaribu kuweka sawa mambo katika mstari husika! Sasa unachotakiwa kufanya ni kubadili nchi katika kila makala utakayo andika kuhusu bendi za muziki, kwa mfano:

  • [[Category:Bendi za muziki wa Tanzania]]
  • [[Category:Bendi za muziki wa Italia]]
  • [[Category:Bendi za muziki wa Ujerumani]]

Na mengine mengi tu. I hope this help. Let's continue!--Mwanaharakati (majadiliano) 07:19, 9 Julai 2008 (UTC)Reply[reply]

Poa sana. Naona iko makini na akili zako zinafanya kazi haraka sana. Hongera! Unasemaje kama tutakaa pamoja na kuunda makala ya albamu ya Tattoo You ya The Rolling Stone!! Unaonaje? Naizisha sasa!!!!!--Mwanaharakati (majadiliano) 09:24, 9 Julai 2008 (UTC)Reply[reply]

Tayari nimeshaiumba. Cha kufanya ni kuongezea mawili matatu au unaonaje? Sana-sana katika sehemu za Chati na singles. Fungua hapa.--Mwanaharakati (majadiliano) 10:27, 9 Julai 2008 (UTC)Reply[reply]
Nimekubali. Unatisha mzee. Sasa ufanye mpango wa kuzijenga zile category zote zilizokuwa na "red sign"-alama nyekundu. Kwani hazileti sura nzuri zikiwa na mialama myekundu! Kama anzisha tu.--Mwanaharakati (majadiliano) 15:10, 9 Julai 2008 (UTC)Reply[reply]

Re:90125[hariri chanzo]

Salam! Ebwana poa tu. Weka ni sawasawa (correct) ulivyofanya. Keep moving, endelea!!--Mwanaharakati (majadiliano) 07:35, 10 Julai 2008 (UTC)Reply[reply]

Recording Label[hariri chanzo]

Mwana (friend - Swahili slang). Nataka tuanzishe makala kuhusu studio za kurekodia nyimbo, maana nimeona makala nyingi za nyimbo zenye kuonyesha studio bila makala. Unasemaje tukifanya hivyo? Angalia Template:Infobox record label kwa matumizi (usage) ya makala ya studio. Twende kazi.--Mwanaharakati (majadiliano) 10:17, 10 Julai 2008 (UTC)Reply[reply]

Hello, Moogate. Are you there? I have not seen you for quite sometime now! But anyway, your always welcome!!! Cheers,--Mwanaharakati (majadiliano) 15:37, 22 Julai 2008 (UTC)Reply[reply]
Ahksante sana kwa salam zako! Nakumbuka niliona umeandika mawili matatu kuhusu wasanii wa Tanzania na muziki wa Tanzania kwa ujumla. Je ulishawahi kuishi Tanzania?--Mwanaharakati (majadiliano) 15:46, 24 Julai 2008 (UTC)Reply[reply]
Ulishawahi? Wahi - Kuwahi (have you ever live in Tanzania? :). Kuwahi ni ku - ever! Natumai umenipata vizuri hapo. Basi endelea kusiliza muziki wa TZ! Na kila lakheri...--Mwanaharakati (majadiliano) 14:24, 26 Julai 2008 (UTC)Reply[reply]

Translation request[hariri chanzo]

Mambo vipi Moongate. Naomba nitafsirie makala ya Muziki wa dansi kutoka katika orodha ya makala kwa Kitaliano, ili na sisi tuwe na makala kama ile. Basi usisahau kama utapata muda wa kuitafsiri!! Ubarikiwe.--Mwanaharakati (majadiliano) 15:55, 12 Agosti 2008 (UTC)Reply[reply]

Basi sawa. Utafanya polepole na ukiona umeshamaliza kuandika, nijulishe (notify me) niende kuona umefikia wapi!! Hiyo iko okay! Ahksante kwa jibu lako.--Mwanaharakati (majadiliano) 14:52, 19 Agosti 2008 (UTC)Reply[reply]
Hamna tabu. Tupo pamoja (we are together).--Mwanaharakati (majadiliano) 08:35, 20 Agosti 2008 (UTC)Reply[reply]

Masahihisho[hariri chanzo]

Mambo vipi. Tafadhali angalia hapa kwa masahihisho ya makala ya muziki wa dansi katika sandbox yako!--Mwanaharakati (majadiliano) 16:23, 20 Agosti 2008 (UTC)Reply[reply]

Salaam! Tayari nimeshafanya! Waweza kuitazama, kisha iruhusu kuwa makala. Ahsante sana.--Mwanaharakati (majadiliano) 16:35, 29 Agosti 2008 (UTC)Reply[reply]

Karibu tena![hariri chanzo]

Moon, salam. Mambo vipi "mshkaji" (buddy), mbona kimya sana?--Mwanaharakati (Longa) 09:31, 13 Oktoba 2008 (UTC)Reply[reply]

Sikwenda (kwenda=sikuenda-yote sawa tu). Aha, kumbe! Basi sawa karibu tena ndugu yangu. Mie sijambo. Halafu, eti lini unategemea kuja Bongo?--Mwanaharakati (Longa) 11:11, 13 Oktoba 2008 (UTC)Reply[reply]
Halafu "Besides, by the way". Lini "When". Una - tegemea = "Expect". Example: When do you expect to come in Dar es Salaam? "Bongo"=Dar es Salaam. Halafu, nini maana ya "Sikunyita"?--Mwanaharakati (Longa) 11:42, 13 Oktoba 2008 (UTC)Reply[reply]
Nimekuelewa vizuuuri kabisa! Kumbe una mke ndugu yangu? Hongera!! Basi ukija Bongo naomba usisahau kuniletea zawadi nzuuri kabisa kutoka Italia. Halafu fungua e-mail yako utakuta ujumbe wangu.--Mwanaharakati (Longa) 13:30, 13 Oktoba 2008 (UTC)Reply[reply]

JE HUU MTANDAO UNAWEZA TUMIKA KWA MASWALA MENGINE YA KIJAMII ?[hariri chanzo]

Mimi ni mgeni katika huu mtandao wenu, lakini pia nimeupenda kwani ni lahisi kwa mawasiliano kote duniani, kwa wale wenyeji na wahusika ningependa kupata jibu la swali langu hapo juu,

Mpendwa, wikipedia si mtandao kwa mawasiliano wa kawaida lakini ni mradi wa kujenga kamusi elezo. Ukipenda kujadiliana na watu nenda penginepo kwa mfano jamiiforums.com. Hapa ni mahali pa kukusanya habari za kielimu, tukijadiliana juu ya maswali jinsi ya kuionyesha au kuthebitisha pekee. Kipala (majadiliano) 08:37, 12 Desemba 2013 (UTC)Reply[reply]

lingue dei segni[hariri chanzo]

ciao, avevo creato dei sandbox per delle lingue dei segni da pubblicare nella wikipedia in lingua swahili.. ma ovviamente non so molto di swahili.. mi potresti darmi una mano?? :) --SurdusVII (majadiliano) 18:22, 24 Julai 2015 (UTC)Reply[reply]

Dove si trova questa sandbox? Fino ad ora non abbiamo probabilmente nessuno articulo sulle lingue dei segnis. Kipala (majadiliano) 08:42, 25 Julai 2015 (UTC)Reply[reply]