Majadiliano ya mtumiaji:Faidha
Mandhari
Faidha karibu katika Wikipedia ya Kiswahili. Ni furaha yetu kumuona mgeni mpya na kuanza kuchangia. Hongera kwa makala ya kwanza ya Maana ya msamiati... Ukitazama utaona nimeongeza vitu kadhaa ili kuiweka katika misingi ya Kiwikipedia zaidi. Ukiwa una swali, uliza. Kwa sasa - hasa utaniona mimi Muddy, Riccardo, na Kipala. Woote tupo tayari kukusaidia! Karibu sana!--MwanaharakatiLonga 16:25, 23 Machi 2014 (UTC)