Majadiliano ya kigezo:Islam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Hongera kwa Muddyb kwa kutengeneza kigezo hiki, lakini naona maneno mengine hayajatafsiriwa. Naweza kujaribu? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 08:38, 16 Septemba 2009 (UTC)

Riccardo, salaam! Naomba labda niweke wazi suala hili. Jamani huu ni mradi wa ushirika! Mmoja ataanzisha na mwingine atamalizia. Hivyo usisite kusawazisha pindi utapoona tatizo kama hili. Binafsi, sikuwa na uwezo wa kumalizia maelezo mengine kwa sababu sikupata maana kamili. Labda niseme tena: Siku nyingine usisubirie ruhusu - we endelea tu!!! Ahsante kwa kunitaarifu.--Muddyb MwanaharakatiLonga 09:17, 16 Septemba 2009 (UTC)