Majadiliano ya kigezo:Infobox shopping mall

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Erick, nitaanza kukuonyesha namna ya kutafsiri vigezo hivi - na uanze kufuata kama jinsi nilivyofanya. Ni ngumu kidogo, lakini si sana.--MwanaharakatiLonga 11:02, 7 Januari 2010 (UTC) [jibu]

Nimeanza kulitafsiri lile la Golf Tournament. Liangalie hapa Dubai Desert Classic
Sawa. Ni jaribio zuri. Lakini hili bado hatujamaliza. Inatupasa tumalize moja-moja kwanza. Angalia maelezo haya chini:
{{Infobox shopping mall 
| jina la duka = 
| picha        =
| ukubwa wa picha  =
| maelezo ya picha =
| mahali     =
| ramani ya kijiografia  =
| anwani      =
| tarehe ya ufunguzi =
| tarehe ya kufungwa =
| developer    = 
| kiongozi      =
| mmiliki        =
| msanifu majengo    =
| idadi ya maduka  =
| number_of_anchors =
| eneo la ghorofa   =
| maegesho      =
| ghorofa       =
| tovuti      =
| footnotes    =
}}

  • Sasa kuna haya ya kusema:
  1. Nina mashaka na tafsiri ya developer - wewe umeielewaje?
  2. Nini hii number_of_anchors?

Ukiipata maana yake, basi andika hapa - nami nitaiweka kwenye kigezo!--MwanaharakatiLonga 12:22, 7 Januari 2010 (UTC) [jibu]

Nimeelewa kwamba developers ni wale wajenzi wa lile duka na Anchors ni zile duka kubwa ambazo huvutia watu kwa duka hilo --Erick njenga (majadiliano) 12:44, 7 Januari 2010 (UTC)[jibu]
Hehehehe! Una nasa haraka sana. Hongera. Basi nitaziweka hizo!--MwanaharakatiLonga 13:01, 7 Januari 2010 (UTC)[jibu]
Sasa nimepata shida kidogo katika kuitafsiri Kigezo kile cha Prime Minister. Hiki hapa Prime Minister. Ingekuwa vyema kama kungesaidiana. Ahsante --Erick njenga (majadiliano)
Lakini mbona hapa hakuna kigezo kama kile? Au kile cha rais?--MwanaharakatiLonga 15:08, 7 Januari 2010 (UTC)[jibu]
Sikuelewi. Nataka kukitumia katika ukurasa kama huu Rashid Bin Saeed Al Maktoum. Nilijaribu kulibadilisha lakini sijafanikiwa. --Erick njenga (majadiliano)